#KOTDissTrack Lyrics by @MaN__Kena

image

D

Artiste:Pewa Abagenge /@Man_Kena
Track:Kot Diss
Language:Sheng

Jeeh!!jeeh!! ah Jeeh! Ok
K.O.T DISS TRACK

Kushoto kulia nacheck Joe Muchiri
Buda fulani na kipara anafanana Ngiri
Karibu ana hit 40 na haunanga bibi
2014 wacha ku kuta ma Teeney
Mwingine Anafanya Cyber na ana set standards
Rama RamzZy ndio Jina ya Bastard
Huwezi pata lawyer hata wa vioja mahakamani
Sonko kwa TL na matumbo mtaani
Polycarp jina ingine Mama Kerubo
mnachukia huyu msee but ye ufanya mambo
Kuna blogger flani inajiita Kaana
Angekuwa mtoto wangu ninge mkaana
hapo hauna future enda uza mkombero
Fala flani anadhani ati hii track Imeisha
Next Patient AISHA
unajiita Her Excellency na wewe si Bibi ya Uhuru
Una curviwa daily kwa TL na kina NJIIRU
MASAKU AKA wanugu
Itabidi umeacha kuiba tweets za Watu
DJ PRESLEY ana mix Mandengu
Unajiita Super star na una Nuka managu
EVABULANCE aka Dj Eyne
Ukubali ukatae huyu ni DJ ako mbele
Shida ni Ma TOEs Tafuta Mganga wa Vidole
RENEESKYLA Unafanana na omena za migingo
Bigwig mbona uwezi nunua urembo?
JOYCEHOOD aka JOYCE SABALI
ma Lesbo ni warembo enda tafuta Chali
Its only in Nairobi kahaba anaitwa Sociolite
Huddah anauza mwili hi mamen thats a fact
MIKE ako majuu bado anaoshanga Choo
Anaosha Choo wazungu wakienda majuu
BRIAN MBUNDE anajidai na ma lightskin
Rangi ni ya Thao lakini wote ni ma Basin
KATEYDEE ni kama !miracle Baby
alikuwa mweusi akaoga na maji ya uzima
Ukienda na Lencer muskiti unamuacha kwa mlango
si mimi nilisema unafanana na Gecko
MaBAT man wote kidole cha kati
Hamnanga story ya maana ka wamama wa kamati
GACHERY bado unataka attention
Twitpic akili labda tutakupatia ma mentions
DENDAI angekuwa US angeitwa Maraya
juu ako Kenya bado ni Malaya
MISS RAHIMA aka Ngamia hips zako jiekee hatutaki kuona ma Tyre
Uliingia Twitter kama unaitwa MISS HAVE
Juu ya story zako zote siku hizi unajiita Miss HOEv
Droid ako idle anaunda ma Meme
Tafuta Kazi hata kama ni ya kuosha choo kameme
KYM254 anajiita mrembo,haunanga hata shingo una kaa Tembo
WAFUNYA aka the Fapper
umefap tu madaktari umebaki na ma number
Kuna fala ingine inaitwa KIMANZI
una suti moja na nashuku ni ya wazazi
Hapa track imefika kumechaha
na siezi maliza hadi ni diss CHACHA

Nashuku huyu msee huwa na mkono Moja
kuna Fala inaitwanga MINT imejaa ukisi
unaumama sana msee vuta kamisi aaah……Jeeh!! jeeh!!!! ah ah
YAMAT enda osha Kangaroo as sio
CUTEST KOT the snap stupid you areNOT cute ah ah ah
OMBAJO eeh mayne uwezi pata bibi unanuka moshi
COY KARANJA sijui nikuambie nini GITS unainulia nani mkono?useless
SHIRLEYHONTAS bado unatafuta attention 2014 alshabaab and*******
SLY dustbin ya sembe..si mimi nilisema
jeeh!!! jeeh!!! LAMS wacha umama weka AVI yako bana
ah ah ah eeeh na hakuna kitu mtafanya Jeeh
Iam looking for CARO SPENCER my crash man jeeeh
TIANTA,LEEEYO au sio jeeeh MUTHONI….kabisa
kuna sheria za uhuru mayne usinitafute ,iam out

Advertisements

Published by

Kenyan Celebs 411

I have passion for culture and heritage for our motherland africa

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s