TUBONGE Lyrics By Jose Chameleon

image
Chameleon

Song:Tubonge
Artiste:Dr.Jose Chameleon
lable:Leon Island
Language:Swahili

Tubonge ,Chameleon naomba Tubonge,Mungu baba we Longe,Gospel time now,oh Nah

Nina wewe wa kweli katika wote ninae ni wewe,Ananipenda kamili bila kipimo ananipenda  hakuna kiasi,Ningependa nikuone nikupe vyote vyangu nikupe chochote,Unachotaka chochote upate lakini sina namna ya kukupata

Ungekuwa na pasi unaishi ata iwe mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekuwa na nambari ya simu,Facebook au twitter lakini ata sura ulificha

Chorus
Njoo oh
Nimesubiri sana ni lini tutaonana nana
Njoo oh
I dont know what to do ,to do i’m waiting for you
Njoo oh
Nimesubiri sana lini tutaonana nana 
Njoo oh
Rafiki wa kweli Rafiki milele

Rafiki yangu  nimempa sasa tuzo
Ana asili zangu nyingi siongopi mateso
Hao wameisha  hawanitishi na mawazo,ninae ninae
Walinzi wangu sasa mimi staki fujo ,nikiwa nayeye siogopi vya Devil,Badi man Ongeza Base na Trible nimtaje kama ninaimba Tangazo….


Ungekuwa na pasi unaishi ata iwe mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekuwa na nambari ya simu,Facebook au twitter lakini hata sura ulificha

Chorus
Njoo oh
Nimesubiri sana ni lini tutaonana nana
Njoo oh
I dont know what to do ,to do i’m waiting for you
Njoo oh
Nimesubiri sana lini tutaonana nana 
Njoo oh
Rafiki wa kweli Rafiki milele

Tubonge ,Chameleon naomba Tubonge,Mungu baba we Longe,Gospel time now,oh Nah

Njo nikupe chochote unataka,hatujakutana mimi nakufata

Njoo nikukaribishe kwangu,njo Nikupikie chakula tamu
Naomba Nikuonyeshe na watoto wangu
Njo nikuonyeshe baba,mama wangu,nikuonyeshe marafiki zangu,na mi na moyo wangu.

Ungekuwa na pasi unaishi ata iwe mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekuwa na nambari ya simu,Facebook au twitter lakini hata sura ulificha

Chorus
Njoo oh
Nimesubiri sana ni lini tutaonana nana
Njoo oh
I dont know what to do ,to do i’m waiting for you
Njoo oh
Nimesubiri sana lini tutaonana nana 
Njoo oh
Rafiki wa kweli Rafiki milele

Tubonge ,Chameleon naomba Tubonge,Mungu baba we Longe,Gospel time now,oh Nah …till fade

Advertisements

Published by

Kenyan Celebs 411

I have passion for culture and heritage for our motherland africa

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s